skip to main |
skip to sidebar
TANZANIA HAITAOMBA MSAMAHA SERIKALI YA RWANDA
Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard
Membe,amesema Tanzania haitaiomba radhi Rwanda kwa kauli ya rais Jakaya
Kikwete kuitaka Rwanda ikae katika meza ya mazungumzo na waasi ili
kumaliza mapigano yaliyodumu kwa karibu miaka 16 sasa,na kuongeza kuwa
alichokifanya rais Kikwete ni kitendo cha kistaarabu na si matusi kama
ambavyo Rwanda inadai.
No comments:
Post a Comment