Sunday, 2 June 2013

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KISIWA CHA GULANGYU ISLAND


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa mtoa maelezo katika nyumba ya muziki wa Ganon Faing Xi Chi,wakati alipotembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki  huo huko kisiwa cha Gulangyu Island,jana akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiteremka ngazi katika Bandari ya ufukwe wa kisiwa cha  Gulangyu Island,baada ya kuitembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki  Garnon ,jana akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!