Gari lililobeba mwili wa Albert Mangwea
Wananchi wakilisukuma gari lililobeba mwili wa Ngwea
Maelfu ya watanzania wakiongoza msafara kwa mguu kusindikiza mwili wa Marehemu Albert Mangweha Hospitsli ya Taifa Muhimbili...!! |
Mashabiki wa Albert Mangweha waliojitokeza Airport wakilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza lenye mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha ulipopokelewa.... |
No comments:
Post a Comment