Mtangazaji wa kipindi cha Wanawake katika Television ya EATV, Bi Joyce Kiria, akiwa nje ya jengo la Habari (maelezo) Mtaa wa samora, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa Habari kuhusu, Mume wake Bw Henri Kileo, ambaye inasemekana kwamba anashikiliwa na jeshi la Polisi, na kwamba mwanamama huyo hajaambiwa chochote wapi alipo mume wake, na nini kinaendelea juu ya mkasa huo. akiongea kwa sauti Joyce amemuomba Mheshimiwa Rais na wananchi kwa ujumla wamsaidie.
Kwa upande wa Polisi walitoa maelezo haya.
No comments:
Post a Comment