Tuesday, 4 June 2013

MASHABIKI WA NGWAIR WALIOTEMBEA KWA MIGUU TOKA AIRPOT MPAKA MUHIMBILI WAKIIMBA KWA HUZUNI


Hawa ni mashabiki wa Marehemu Mangwea waliotembea kutoka airport hadi hospitali ya Muhimbili huku mikono yao ikiwa juu wakiimba "kafa kazini hajafa kwa demu, mkali wa mistari, tumshusheeeee tumbebeeee."

Marehemu MANGWEA ataagwa kesho asubuhi saa mbili katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo mwili utapelekwa Morogoro kwa ajili ya mazishi ambayo yatafanyika sku ya Alhamis.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!