Saturday, 1 June 2013

KLYN AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA REGINALD MENGI


Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake


Hiyo ndo Tweet ya Klyn kwa mpenzi wake Mh. MENGI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!