skip to main |
skip to sidebar
KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU LHRC KIMEMTAKA MH PINDA KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KAULI ALIYOITOA BUNGENI
Kituo cha sheria na haki za binadamu-LHRC kimemtaka waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda,kuwaomba radhi Watanzania kupitia bunge, kufuatia kauli aliyoitoa hivi karibuni bungeni mjini Dodoma , akiviamuru vyombo vya ulinzi na usalama likiwemo jeshi la polisi kuwadhibiti wananchi kwa kuwapiga pale wanapo kaidi amri halali inayotolewa na jeshihilo.
![Kituo cha sheria na haki za binadamu-LHRC kimemtaka waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda,kuwaomba radhi Watanzania kupitia bunge, kufuatia kauli aliyoitoa hivi karibuni bungeni mjini Dodoma , akiviamuru vyombo vya ulinzi na usalama likiwemo jeshi la polisi kuwadhibiti wananchi kwa kuwapiga pale wanapo kaidi amri halali inayotolewa na jeshihilo.](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/1013387_396732383771075_94933565_n.jpg)
No comments:
Post a Comment