Saturday, 22 June 2013

JUST IN...........: MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEPIGWA RISASI YA TUMBO CHUONI HAPO AFARIKI DUNIA

 




HABARI zilizotufikia hivi Punde zinasema kwamba mwanafunzi ALEX ROBERT wa chuo kikuu DAR ES SALAAM (UDSM) amefariki dunia mchana huu katika HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ambapo alikuwa amelazwa kutokanana kujeruhiwa na risasi ambyo alipigwa na majambazi waliomvamia akiwemo yeye pamoja na wenzake watatu.
 
 
Marehemu Alex Robert enzi za uhai wake.
 
SOPHIE MBEYU BLOG,NA TEAM NZIMA, TUMEPOKEA TAARIFA HII KWA MASIKITIKO MAKUBWA, NA TUNAUNGANA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI..
 
 
SOURCE. MPEKUZI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!