Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akipunga mkono kwa furaha, akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) baada ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam jana.
Warembo watatu bora wakiwa na zawadi zao za mfano wa hundi kila mmoja baada ya kutangazwa washindi na kukabidhiwa.
No comments:
Post a Comment