Pages

Saturday 25 May 2013

YALE YALE! JE TUFANYEJE KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI? TUMA MAONI YAKO..

1
Ajali hii imetokea leo huko njia panda ya segerea, baada ya gari aina ya Fuso kumgonga  Dereva wa pikipiki  aliyekuwa anakatiza kwenye taa nyekundu.



3
Dereva wa Pikipiki akiugulia baada ya kuumia vibaya, akisubiri msaada wa kupelekwa hospitali.



No comments:

Post a Comment