Watu watano wamekamatwa na Vifaa maalum vinavyohusika katika utengenezaji wa mabomu, Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Da-es-salaam, Kamanda Suleiman Kova, amesema watu hao hawakuwa na leseni ya kumiliki vifaa hivyo wala hawakuonyesha wamenunua wapi Vifaa hivyo na Walikuwa na nia gani, Polisi inaendelea na uchunguzi zaidi.
No comments:
Post a Comment