Monday 27 May 2013

WAWAKILISHI TOKA TANZANIA WAPOKELEWA VYEMA KATIKA UFUNGUZI WA SHOW YA BIG BROTHER AFRIKA HUKO AFRIKA YA KUSINI.

IMG_0209

Mwakilishi toka  Tanzania, Nando akiwa na patner wake toka Namibia Cleo, wakimsikiliza mtangazaji wa kipindi hicho, katika ufunguzi wa show hiyo.


IMG_0226
Mwakilishi wa Tanzania Feza kessy, akiwapungia mashabiki na wageni mbalimbali waliokuwepo katika ufunguzi wa show ya BB mwaka 2013.


IMG_0235
Mwakilishi taka Tanzania Feza Kessy, akitambulishwa kwa patner wake toka nchini Ghana Bw Elikem, katika ufunguzi wa show hiyo huko Johannesburg Afrika ya kusini.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!