Serikali imeanza kuwalipa fidia kiasi cha shilingi bilioni 5 wakazi 619 waliopo eneo la Saru Magaoni jijini Tanga kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa reli iendayo katika bandari kuu ya jumuiya ya Afrika mashariki itakayojengwa eneo la mwambani jijini Tanga
No comments:
Post a Comment