Friday, 3 May 2013
WAKAZI WA MWAMBANI TANGA KULIPWA FIDIA YA SH MIL 5 KUTOKANA NA UJENZI WA RELI UNAOTARAJIWA KUANZA .
Serikali imeanza kuwalipa fidia kiasi cha shilingi bilioni 5 wakazi 619 waliopo eneo la Saru Magaoni jijini Tanga kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa reli iendayo katika bandari kuu ya jumuiya ya Afrika mashariki itakayojengwa eneo la mwambani jijini Tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment