Pages

Thursday 16 May 2013

VIONGOZI WA MAJESHI YA NCHI ZA SADC WAKUTANA JIJINI LEO


Wakuu wa Majeshi ya Polisi nchi za SADC, wakiwa katika Mkutano wa mwaka wa kumi na nane washirikisho la  wakuu wa Polisi kusini mwa Africa, (SARPCCO) jijini Dar-es-salaam, ili kujadili uhalifu mbalimbali unaovuka mipaka.

No comments:

Post a Comment