Tuesday, 21 May 2013
UMOJA WA MATAIFA HAUTATUI CHANZO CHA MATATIZO NCHINI CONGO, ASEMA RAISI WA RWANDA
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametoa mtazamo mkali wa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa mataifa ulioko katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Kagame ameiambia BBC kwamba kikosi cha Umoja wa Mataifa cha askari elfu 20 kilichopelekwa miaka 14 iliyopita, hakijafanya lolote kutatua chanzo cha matatizo ya Congo na wakati mwingine kimeufanya mzozo huo kuwa mbaya zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment