skip to main |
skip to sidebar
TUFANYEJE KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI? HII IMETOKEA LEO JIONI BARABARA YA CHANG"OMBE.
'
Hapo "KUFA KUFAANA" baadhi ya wananchi wakiwa bize kuchota mafuta yaliyomo katika tank la lori hilo.
Ajali hii ya kutisha ilihusisha magari matatu, gari la mafuta ya kupikia, daladala, na gari ya mtu binafsi aina ya prado. taarifa zinasema Lori liliacha njia na kugonga Daladala, ambayo kwa bahati nzuri haikuwa na Abiria zaidi ya dereva. Kwa miujiza ya mungu hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo, zaidi ya majeraha.
No comments:
Post a Comment