Wednesday, 29 May 2013
RAIA WEMA WAOKOTA RISASI 277 HUKO MWANZA.
Risasi 277 za bunduki ya kijeshi aina ya SMG zinazoaminika kutumiwa kwenye matukio ya ujambazi zimeokotwa na raia wema zikiwa zimetupwa kwenye vichaka, katika eneo la Lumala wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Kamanda wa polisi mkoani humo bw Ernest Kimangu amesema, Risasi hizo zinahusishwa natukio la kuuawa kwa majambazi wawili katika eneo la Igoma, ambapo majambazi hayo huko nyumba yaliwahi kukamatwa na Risasi 597.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment