Pages

Thursday 9 May 2013

PONDA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE, NA WENGINE 49 KUACHIWA HURU.

Breaking News:Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam,imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za KiislamTanzania Shekhe Ponda Issa Ponda,huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru

Mahakama kuu ya Kisutu imemhukumu kifungo cha nje, kwa muda wa mwaka mmoja, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za kiislamu nchni Tanzania,  Sheikh Ponda Issa Ponda, na kwamba washitakiwa wengine 49 wameachiwa huru.

No comments:

Post a Comment