KUSHOTO MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI IKUTI JIJINI MBEYA NA LUSHINDIHO SIMKONDA MIAKA 10 HUYU HASOMI KABISA SHULE HAPA WAMEAJIRIWA KUBEBA TOFARI KWA UJIRA WA SHILINGI 30 TU KWA TOFARI MOJA
HUYU NI ANNA SAIMON MIAKA 8 NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IKUTI DARASA LA TATU AKIWA AMEBEBA TOFARI MBILI ZINAZOKADIRIWA KUWA NA UZITO WA KILO 10
WATOTO HAWA TULIPOWAULIZA KWANINI MNABEBA TOFARI HIZI MUDA WA KUWA SHULE WALITUJIBU KUWA TUNATAFUTA HELA ZA DAFTARI KWANI WAZAZI WETU HAWANA UWEZO WA KUTUNUNULIA. |
No comments:
Post a Comment