Pages

Sunday 5 May 2013

NENO LA LEO TOKA KWA MWANVITA MAKAMBA...

Kwa mtu aliye peku, furaha yake ni kupata viatu. Kwa aliye na viatu vilivyochakaa, furaha yake ni kupata viatu vipya. Kwa aliye na viatu vipya, furaha yake ni kupata viatu vya fasheni mpya na vyenye muonekano mzuri zaidi na yule asiye na miguu, furaha kwake ni kupata miguu hata kama atakuwa peku. Yapime maisha na yafurahie kwa kile ulicho nacho na si kwa kile usichonacho.

No comments:

Post a Comment