skip to main |
skip to sidebar
NENO LA LEO TOKA KWA MADAM RITHA PAULSEN
Hofu na uoga ni adui wetu mkubwa. Jenga imani katika kila jambo ambalo unataka kufanya na tokomeza kabisa hofu na uoga ili upate mafanikio. Hofu ya wengi wetu ni ya kisaikolojia. Kuwa jasiri wa mambo yako na hakika utafanikiwa.
No comments:
Post a Comment