Tuesday 7 May 2013

Mtanzania anayechezea Chelsea ‘Adam Nditi’ aiponda show ya Diamond Uingereza, asema ‘aibu tupu’

adam na diamond
“Diamond jana manyago aibu tupu waswahili lazima tubadilike it’s embarrassing,” ametweet. “Hajafanya jambo lolote ila shoo ilikuwa haina very unprofessional kwenye tangazo walisema inaanza saa 3 usiku jamaa amefika saa 1 asubuhi.”

“Jukwaa lilikuwa ovyo kama vile watu hawajalipa kumuuona mmoja Wa wasani wanaotamba bongo nyimbo zilikuwa zinapigwa redioni alikuwa haimbi.”

Diamond yupo ziarani nchini Uingereza

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!