Wednesday 22 May 2013

MAMA SALMA KIKWETE AWAKUTANISHA CHAMA CHA MADAKTARI BINGWA WA WATOTO NCHINI NA DAKTARI BINGWA WA WATOTO DR JAROME PAULSON TOKA MAREKANI WA


Mkurugenzi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) mama Salma Kikwete, akimkaribisha Dr Jarome Paulson, Daktari bingwa wa magonjwa ya Watoto na pia mkurugenzi wa Afya ya Watoto na mazingira kutoka Childrens National Medical Centre, iliyoko Washington nchini Marekani. Daktari huyo bingwa yuko nchini Tanzania ili kutoa mafunzo kwa madaktari bingwa wa watoto hapa nchini, kufuatia makubaliano alyoyafanya na Mama Salma, alipotembelea Taasisi hiyo mwaka jana huko Marekani.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!