Monday, 6 May 2013
MAKAMU WA RAISI DKT MOHAMED GHARIB BILAL PAMOJA NA MHE, STEPHEN MASELE WATEMBELEA MAJERUHI WALIOATHIRIKA NA BOMU LILILOLIPUKA JANA HUKO ARUSHA.
Makamu wa Raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal, akiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa Bomu, uliotokea jana wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Mt. Joseph huko Arusha.
Mhe, Stephen Masele akitoa pole kwa majeruhi hao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment