Pages

Monday 13 May 2013

MAJESHI YA TANZANIA YAWASILI NCHINI CONGO...

Kikosi Cha kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania ambacho Kimepewa Kibali maalumu Cha kuhakikisha Kinawafurumisha Waasi wa M23, Wakipewa Maelekezo na Makamanda Wao mara Baada ya kuwasili ktk Mji wa Kivu ktk Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

No comments:

Post a Comment