Hayo ni matundu ya risasi yaliyopigwa na majambazi kwenye kioo cha dereva na kwamaba , majambazi hayo kufanikiwa kumjeruhi dereva sehemu ya bega na kufanikiwa kunyakua begi linalosadikiwa kuwa,lilikuwa na kiasi cha fedha shilingi milioni 40 na kutokomea nazo.
Kwa mujibu wa mashuhuda hao, majambazi hao walikuwa wapatao wanne wakiwa wamepanda piki piki,ghafla wakasimama na kulizunguka gari aina Vitz yenye usajili wa namba T929 CCX kwa haraka,mmoja wao akiwa na mashine gun na wengine walikuwa na bastola.
Gari iliyokuwa imevamiwa na majambazi ikikokotwa na gari la polisi.
Habari kwa hisani ya mpekuzi.
Habari kwa hisani ya mpekuzi.
No comments:
Post a Comment