Thursday, 2 May 2013
KONGAMANO LA SIKU MBILI KUHUSU SAYANSI YA TIBA LAFUNGULIWA LEO
Makamu wa Rais Mhe, Mohamed Gharib Bilal, akitoa maelezo juu ya kongamano hilo, lililofanyika katika Hotel ya Kunduch Beach, kongamano hilo liliandaliwa na chuo kikuu cha afya cha Muhimbili.
Pichani ni washiriki na wageni waalikwa katika kongamano hilo.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment