Friday, 31 May 2013
JUST IN..............AFARIKI DUNIA WAKATI AKIGOMBEA USAFIRI WA DALADALA HUKO ILALA BOMA ASUBUHI LEO.
Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika, amefariki dunia baada ya kuteleza na kuanguka wakati alipokua akijaribu kudandia Daladala maeneo ya Ilala Boma, Jijini Dar es Salaam, asubuhi leo. Marehemu huyo baada ya kuanguka na kupiga kichwa kwenye lami, alipasuka kichwa na kuvuja damu nyingi kichwani, na kufariki katika eneo la tukio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment