Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Funk Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi
Na wakati huohuo tunahabarishwa kuwa msanii wa muziki Lady jay dee ameaihirisha show yake kufuatia kifo cha Ngwair
No comments:
Post a Comment