Saturday, 4 May 2013
BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI(NSSF) LAFANYA MKUTANO MJINI BAGAMOYO
Mwenyekiti wa mkutano mkuu wa baraza la wafanyakazi na mkurugenzi mkuu wa shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii(NSSF) Dr Ramadhani Dau, akizungumza katika mkutano huo.
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo wa 39 wa baraza kuu la wafanyakazi, uliofanyika katika
Hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo.
Habari kwa hisani ya Michuzi Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment