Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Benki ya Barclays Tunu Kavishe,akikabidhi hundi ya Sh 61 Milioni kwa Mkurugenzi wa Mradi wa Chuo cha Utabibu Baylor Dk Lumumba Mwita(kushoto)wakati wa makabidhiano yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana,ambapo fedha hizo zitasaidia vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment