Wednesday 15 May 2013

AJALI MBAYA HUKO ROZANA ASUBUHI HII



Ajali hii mbaya  imetokea leo asubuhi katika maeneo ya Rozana Buguruni, ajali ambayo ilihusisha  basi la daladala, na pikipiki. kwa bahati nzuri dereva wa pikipiki hiyo alifanikiwa kuruka na kusalimisha maisha  yake. Ajali kama hizi  zimekuwa ni kawaida kwa madereva wetu wa bongo, watu wanaendesha kiholela bila kufuata sheria, hii ni tishio kwa maisha yetu



Polisi wa Usalama barabarani wakiwa katika harakati za kuichomoa pikipiki hiyo, chini ya basi la daladala.


Dereva wa pikipiki hiyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!