skip to main |
skip to sidebar
ZOEZI LA UOKOAJI LAINGIA SIKU YA TATU
Zoezi la uokoaji wa miili ya watu walioangukiwa na jengo la ghorofa 16 lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kufunikwa na kifusi Limeingia siku ya tatu huku idadi ya walifariki dunia ikiongezeka kufikia watu 28 na bado zoezi hilo linaendelea
No comments:
Post a Comment