Jeshi la polisi katika mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar-es-Salaam,limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya watu walio kuwa na nia ya kuvamia kituo cha polisi Kawe,baada ya mtu anayedaiwa kuwa askari wa jeshi la wananchi watanzania (JWTZ)kumpiga hadi kufa kijana mwendesha bajaji katika eneo la Kawe jijini Dar-es-Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment