Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametoa siku 30 kwa mmiliki wa jengo la ghorofa 16, lililopo Mtaa wa Indira Gandhi katikati ya jiji, Ally Raza kulibomoa jengo hilo baada ya kubainika alilijenga chini ya kiwango.
Kadhalika Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imeiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, kufanya uchunguzi wa ubora wa majengo mengine matano yanayomilikiwa na Raza ambaye pia ni mmiliki wa jengo lingine la ghoroga 16 lililoporomoka wiki mbili ziliyopita jijini Dar es Salaam kama yako katika viwango vinavyokidhi
Jengo hilo lililoporomoka lilisababisha vifo vya watu 36, majeruhi 17 na uharibifu wa mali ikiwamo magari linamilikiwa na Raza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment