Pages
(Move to ...)
Home
About
Products
LIVE TV
Radio
Contact
▼
Sunday, 28 April 2013
RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA, AKUTANA NA RAISI WA JAMHURI YA TANZANIA MHE, JAKAYA KIKWETE HUKO ARUSHA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili jana jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi bbada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi bbada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment