Mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika sehemu mbalimbali Tanzania zimeleta usumbufu kwa wakazi kutokana na maji kujaa katika maeneo mengi.
PICHANI(juu) ni mvua katika jiji la Dar
Katika jiji la Arusha hali ni mbaya vilevile,angalia picha zifuatazo
Mawasiliano ya barabara kati ya wilaya za Monduli na Karatu
mkoani Arusha yamekatika kutokana na daraja la Mto Kirurumo linaounganisha wilaya hizo kufunikwa na mawe na kusababisha maji kukata sehemu kubwa ya barabara hiyo.
No comments:
Post a Comment