TWIGA
CHUI
TEMBO
FARU
Picha juu zinaonyesha baadhi ya wanyama waliopo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi. Mikumi ni hifadhi ya 4 kwa ukubwa nchini Tanzania.
WAZO LA LEO
Je, wadau, sisi (wananchi),hufanya utalii wa ndani au ndiyo tunangoja watalii kutoka nje?
CHUKUA HATUA
No comments:
Post a Comment