Mwana usalama akiwa ameshika moja kati ya miguu ya marehemu Lista mara tu baada ya kupatikana nusu ya mwili wa mtoto huyo, ukiwa umetupwa porini ukiwa na baadhi tu ya viungo
Wananchi wengi walijitokeza kuuzika mwili wa mtoto Lista.
Mtoto mmoja aliyejulikana kwa Jina la Lista Sebule (8) Mwanafunzi wa Darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mpombo iliyo katika Kata ya Isange Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani hapa alipotea katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa baada ya Siku 9 akiwa amekufa, na kuwa baadhi ya viungo vyake vimekatwa na kukosekana.
No comments:
Post a Comment