Mkurugenzi mkazi wa UNDP Tanzania bw, Philipe Poinsot(kulia) waziri wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto mh, Sophia Simba(katikati) na mkurugenzi mtendaji wa UN-WOMEN kanda ya Afrika mashariki na pembe ya pwani, Bi Christine Musisi, wakiwa katika kikao kazi cha ushirikiano kuhusu kuandaa mkakati wa pamoja namna ya kushughulikia masuala ya jinsia katika sekta ya madini kilichofanyika jijini Dar.
picha kwa hisani ya michuzi blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment