Friday, 5 April 2013
KAJALA ACHORA TATUU MGONGONI YENYE JINA LA WEMA, KAMA SHUKRANI KWA AJILI YA WEMA WAKE
Kajala Masanja akionyesha tatuu yake yenye jina la wema, ambayo amesema itakuwa ni kumbukumbu yake popote,baada ya kutoka jela kwa dhamana ya sh ml 13 ambazo zililipwa na mwanadada Wema Sepetu. hao ndio mashostito wa ukweee!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment