Tuesday 23 April 2013

JUMA NATURE AFUNGUKA BAADA YA KUKATALIWA KUFANYIWA INTERVIEW NA MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA BURUDANI, KWA KOSA LA KUWA ALIVAA KAWOSH NA KANDAMBILI



hivi kwa mfano angekuwepo mzungu pale na kavaa

 ndala wangesitisha mahojiano na kuvaa kaoshi ni tatizo,

kunywa nimekunywa bt kuna baya nimeliongea na hivi

 kama kweri we nimuandishi wa habari unaruhusiwa 

kuvaa vile kisheria kama yule mtangazaji nimeboreka 

kinoma na ikiwezekana nasitisha kuanzia ssa

 kupeleka ngoma zangu pale siitaji interview




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!