Saturday 27 April 2013

DIAMOND AJIBU MASHAMBULIZI KWA WANAOMPONDA, ADAI MUNGU MWENYEWE NDIO MWENYE UWE ZO WA KILA JAMBO NA SI HAO TUMBIRI., ADAI NI MATAAHIRA NA HATA WAOGOPA.





Msanii  DIAMOND PLATNUM, amejibu mashambulizi yaliyoibuka baada ya yeye kufika  London, ambapo imedaiwa kuwa kitendo cha yeye kuanza kupiga picha mbele ya  magari ya kifahari na kuzituma  picha hizo mtandaoni, kimedaiwa kuwa ni cha kishamba, kauli hizo zimemkera msanii huyo na ameamua kujibu mashambulizi na kusema kuwa wale wote wanaoleta, za kuleta ni mataahira na hawaogopi, kwani mungu ndiye mwenye uwezo wa kila jambo.......


habari kwa hisani ya mpekuzi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!