Katika harakati hizi na kizunguzungu katika sekta ya elimu, Waziri Mkuu ameunda Tume kuchunguza chanzo cha anguko kubwa la elimu kutokana na taifa kushtushwa na matokeo mabaya ya kidato cha nne kuliko mengine yote ambayo yamepata kuikumba nchi hii tangu uhuru
Kuna hoja zinatolewa kwamba sekta ya elimu imeachwa kuporomoka hadi kufikia hali mbaya ya sasa kutokana na kuminywa kwa bajeti ya sekta hiyo, matokeo yake ni janga la kufeli kwa wananfunzi wengi katika mitihani yao kama ilivyodhihirika kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza elimu ya sekondari mwaka jana kwa zaidi ya asilimia 60 kupata daraja sifuri.
Aliyasema hayo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utambulisho wa tovuti ya www.shuledirect.co.tz ambayo
imeanzishwa na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2004, Faraja Kotta.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment