AINA MPYA YA VIINI SUGU VINAVYOSABABISHA MALARIA, VIMEGUNDULIWA HUKO CAMBODIA.
Aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha Malaria na ambavyo havisikii dawa vimegunduliwa na wanasayansi
Watafiti wamevigundua viini hivyo Magharibi mwa Cambodia na wanasema kuwa vina umbo tofauti la genetiki ikilinganishwa na viini vingine duniani. Habari zinazohusiana Majaribio ya chanjo ya malaria yatoa matumaini Vifo kutokana na malaria vyapungua ... Taarifa zinazohusiana afya Viini hivi ni sugu kiasi cha kutosikia dawa aina ya Artemisinin, dawa yenye nguvu zaidi katika kutibu Malaria
No comments:
Post a Comment