Thursday, 14 March 2013

ZIJUE FAIDA ZA PAPAI NA JUISI YAKE





 papaya juice is effective for skin and health   
Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake

  • Papai lina fibrin ambayo hupunguza  kuganda kwa damu
  • Fibrin inaweza kuzuia kiharusi
  • Lycopene iliyomo katika papai inaweza kupunguza hatari ya kansa ya kibofu
  • Mbegu za papai hutibu homa ya matumbo(typhoid)
  • Juisi ya papai huondoa sumu mwilini
  • Juisi ya papai hutibu vyema shinikizo la damu
  • Juisi ya papai husaidia kuzuia magonjwa ya moyo
    Juisi ya papai ina folate, vitamini C na E ambavyo huzuia saratani ya utumbo
  • Juisi ya papai hujenga kinga ya mwili

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!