WEMA SEPETU APONGEZWA NA SHIRIKISHO LA FILAM TANZANIA.
Shirikisho la filam Tanzania (TFF) limempongeza msanii wa filam Wema Abraham Sepetu, kwa kumtolea d hamana ya takriban sh mil 13 kwa Kajala masanja, ambaye alipatikana na hatia ya kutakatishaji wa fedha.
No comments:
Post a Comment