Sunday, 24 March 2013

WATUMISHI WA UMMA WAMETAKIWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA UTENDAJI WA KAZI.

Watumishi wa  umma wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa  katika kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa taaluma zao hasa katika kitengo cha manunuzi ili sekta binafsi ziweze kujifunza kutoka kwao.
 Wito huo umetolewa hivi karibuni   na Kamishna wa Idara ya  Manunuzi ya Umma kutoka wizara ya Fedha  Dk. Fredrick Mwakibinga katika kongamano la kujadili rasimu ya sera ya manunuzi lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa JB uliopo jijini Dar es Salaam.

habari kwa hisani ya fullshangwe.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!