Monday, 11 March 2013

WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA KUPIGA VITA DHIDI YA UNYANYASAJI WA WANAWAKE

 Wajumbe wa chama cha umoja wa mataifa(YUNA)wakiongozwa na jokate mwegelo wakijadiliana na kutoa maoni juu ya matatizo wanayokabiliana nayo wanawake.
 Mwakilishi wa UN WOMEN TANZANIA,  Bi Anna Collins Falk, amesema shirika lake litafanya kila liwezalo likishirikiana na serikali ya Tanzania kuhakikisha haki juu ya wanawake zinatekelezwa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!